Kwa hayo maeneo sidhan, I.e budget ndogo.
Maeneo hayo yana changamoto ya nyumba hasa chumba kimoja kimoja.
Wanafunzi wa law school wamekua wengi wanahitaji maeneo ya near in those areas hivyo kupeleka demand kuwa high as well as renting cost.
Hapo labda uende survey au mwenge.
Kwa hayo maeneo sidhan, I.e budget ndogo.
Maeneo hayo yana changamoto ya nyumba hasa chumba kimoja kimoja.
Wanafunzi wa law school wamekua wengi wanahitaji maeneo ya near by those areas hivyo kupeleka demand kuwa high as well as renting cost.
Hapo labda uende survey au mwenge.