S sabuni jr. Member Joined Oct 14, 2014 Posts 19 Reaction score 4 Nov 7, 2014 #1 Chumba na sebure kiwe na choo ndani(master) maji na luku ya kujitegemea viwepo napendelea zaidi mitaa ya airport,karakata,majumba sita,banana hadi Mombasa karibu na barabara garama yangu 80-100
Chumba na sebure kiwe na choo ndani(master) maji na luku ya kujitegemea viwepo napendelea zaidi mitaa ya airport,karakata,majumba sita,banana hadi Mombasa karibu na barabara garama yangu 80-100
Mavipunda JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 7,182 Reaction score 8,005 Nov 7, 2014 #2 Ngoja madalali waamke
M mputika Senior Member Joined Jun 7, 2013 Posts 163 Reaction score 18 Nov 7, 2014 #3 Mavipunda said: Ngoja madalali waamke Click to expand... bado wamelala hawana pressure kwao pesa zipo kama kawa na vyumba yao vile ya kuchukulia pesa
Mavipunda said: Ngoja madalali waamke Click to expand... bado wamelala hawana pressure kwao pesa zipo kama kawa na vyumba yao vile ya kuchukulia pesa