Iv tumain ipo kurasin sehem ganHiyo bei niliwahi kulipa kwa Azizi Ally mwaka 2009 tena ilikuwa unfinished house!! Zaidi ya umeme na choo cha kuchangia, maji kwa jirani!!
Hiyo mitaa, hususani kwa Azizi bei ya vyumba siku hizi ipo juu kutokana na ukaribu wake na TIA pamoja na DUCE na hivyo demand kuongezeka. Na kutokana na fagia fagia ya Kurasini, nadhani hata Tumaini Kurasini Campus nao sitashangaa nikisikia wapo wanaokaa kwa Aziz!!
Hapo red, hicho chumba kiwe na matairi ya Starlet au Scania??Habar zenu
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya chuo cha TIA Dar kurasini - uhamiaji mpka sabasaba kisiwe mbali sana na barabara kuu pia kiwe na mazingira mazur maji,tires ikiwezekana hata self kwa bei ya 50-60
Mwenzio ndo amemaanisha tiles!Tires, jamaa anataka chumba kinacho tembea au vipi, maana tires bila usukani itakuwaje sasa
Karibia na ghorofa la uhamiajiIv tumain ipo kurasin sehem gan
Habar zenu
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya chuo cha TIA Dar kurasini - uhamiaji mpka sabasaba kisiwe mbali sana na barabara kuu pia kiwe na mazingira mazur maji,tires ikiwezekana hata self kwa bei ya 50-60
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tires, jamaa anataka chumba kinacho tembea au vipi, maana tires bila usukani itakuwaje sasa