Natafuta chumba cha kupanga

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,280
Reaction score
7,774
Samahani Wana jamvi. Natafuta chumba cha kupanga kilicho karibu na mbezi beach. nimepata site mpya huko. Hata kama ni ya kupanda daladala moja kuelekea kazini. Budget yangu ni 100,000 kwa mwezi. Msaada wenu tafadhari
 
Mbezi beach maeneo gani?njoo goba usafiri mwingi wakati wote na hakuna foleni.
 
Kipo kinzudi usukumani chumba na sebule offer ni hyo 100000 pe month ni pm
 
Yes mkuu ni hiyo laki moja au tisini kwa master na sitting room.
 
Mie nachumba selfcontaine Maeneo ya Mwenge nyuma ya Mama ngoma hospital bei 150,000. Kwa Mwezi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…