luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 850
- 1,405
Mcheki huyuuView attachment 864632
Japo Sinza Lion ni mbali kdg na maeneo yangu..
Be careful tafadhali.
Ana maana ya matapeli wengi mjini,wengine hushika vyumba ndugu zao wameasafiri..Naam? Nielekeze vizuri mkuu na wengine wapate faida
Ana maana ya matapeli wengi mjini,wengine hushika vyumba ndugu zao wameasafiri..
Sasa huyo anakupangisha na kila kitu ndani we uende na begi tu au friji! Ni maoni tu ..
Mrejesho muhimu ukiwasiliana nae.
near mawasiliano au ubungo (nyuma ya ubungo Plaza) vipi!?Sawa mkuu, by the way sehem hiyo ni mbali na target yangu.
near mawasiliano au ubungo (nyuma ya ubungo Plaza) vipi!?
hata kikipatikana nadhan changamoto itahamia kwako (budget finyu sana) ukilinganisha na uhitaji wa aina ya room na location.Bado itakuwa mbali sana.. hakuna ndani ya maeneo hayo nliyoyataja..?
all the bestMe naamini vipo vya bei hiyo..!