Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,457
- 615
hamna madalali humu? au hawajaona?
Njoo tukae wote....
Kwani huyo anaetafuta chumba ni Marioo? Cc Heaven on Earth
unataka kumlea?
Njoo tukae wote....
Njoo tukae wote....
Naja ukae na mimi... au?Njoo tukae wote....
Nimi ni dalali ni pm
Njoo tukae wote....
Ni PM basi nije tukae wote maana nmeshindwa kupata ad saiv
Hee karibu mwezi mzima umeanza kutafuta chumba hujapata? Isijekuwa unataka master wakati budget yako ni 40000 kwa mwezi...Heaven on Earth msaidie huyu dogo aje mkae wote