L Leah dickson Member Joined Nov 10, 2013 Posts 10 Reaction score 2 Apr 7, 2015 #1 Wana jf Natafuta chumba cha kupanga mwanza kiwe double room na bei isizidi elfu 50 kwa mwezi kwa yeyote mwenye taarifa anitaarifu kwa namba 0759503092
Wana jf Natafuta chumba cha kupanga mwanza kiwe double room na bei isizidi elfu 50 kwa mwezi kwa yeyote mwenye taarifa anitaarifu kwa namba 0759503092
mwanza yote yangu Senior Member Joined Aug 28, 2014 Posts 141 Reaction score 30 Apr 7, 2015 #2 Ngoja nikusaidie mpigie huyu jamaa anaitwa mkuu wa mkoa 0757023493
L Leah dickson Member Joined Nov 10, 2013 Posts 10 Reaction score 2 Apr 7, 2015 Thread starter #3 mwanza yote yangu said: Ngoja nikusaidie mpigie huyu jamaa anaitwa mkuu wa mkoa 0757023493 Click to expand... ndo mwenye nyumba au ni dalali?
mwanza yote yangu said: Ngoja nikusaidie mpigie huyu jamaa anaitwa mkuu wa mkoa 0757023493 Click to expand... ndo mwenye nyumba au ni dalali?
mwanza yote yangu Senior Member Joined Aug 28, 2014 Posts 141 Reaction score 30 Apr 7, 2015 #4 Leah dickson said: ndo mwenye nyumba au ni dalali? Click to expand... Dalali hata sa hivi ukimpigia anakupa chumba na seble ila kwa hiyo bei jiandae kukaa mabatini, igogo na mkuyuni tu
Leah dickson said: ndo mwenye nyumba au ni dalali? Click to expand... Dalali hata sa hivi ukimpigia anakupa chumba na seble ila kwa hiyo bei jiandae kukaa mabatini, igogo na mkuyuni tu