Leah dickson
Member
- Nov 10, 2013
- 10
- 2
Wana jf Natafuta chumba cha kupanga mwanza kiwe double room na bei isizidi elfu 50 kwa mwezi kwa yeyote mwenye taarifa anitaarifu kwa namba 0759503092
Ngoja nikusaidie mpigie huyu jamaa anaitwa mkuu wa mkoa 0757023493
ndo mwenye nyumba au ni dalali?