bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Asante,mkuu hauna mawasiliano ya wataalam wa hizi kazi?Inategemea chumba una taka chenye ubora gani vipo 20 25 hadi 30 kama unataka ushuani njoo zakhemu 70 kwa mwezi maji na umeme private toilet
weka kiwango unachota ni kuunganishe na dalali Kesho ni kipitaAsante,mkuu hauna mawasiliano ya wataalam wa hizi kazi?
40,000weka kiwango unachota ni kuunganishe na dalali Kesho ni kipita
Nitakutumia namba yake vyumba kibao watu wameachia usawa wa Maguu
40,000
[emoji1]Chumba cha 40,000 utatosha humo? Duh
Itanibidi tu nitoshee mamaChumba cha 40,000 utatosha humo? Duh
dar chumba shilingi ngapihivi dar kuna vyumba vya 40?
Vipo mpaka vya 20hivi dar kuna vyumba vya 40?
me najua laki mbilidar chumba shilingi ngapi
me najua laki mbili