Ndugu wanaJF,natafuta chumba cha kupanga maeneo ya makongo juu karibu na chuo kikuu ardhi cha bei kuanzia 35000 hadi 50000,kwa mwezi! Kwa mwenye kufahamu naomba anijulishe kwenye 0757665701/0787665701.Ahsanteni wakuu!
0713766256 jamaa anaitwa Mwesigwa anaishi makongo juu jaribu kumuulizia naye anapangisha au kama hutoridhika hapo waweza muuliza wapi kwingine. Nyumba ipo karibu na kituo cha daladala Makongo -Juu magari yanapogeuza.