Dah,
Yaani mungu huyu wa ajabu aisee, ashukuriwe sana.
Manake nami pia nlikua natafuta the same thing, na vifaa ninavyo pia ni mtaalamu,
Sasa Mimi nitakufanyia hiyo massage, malipo yake ni wewe pia kunifanyia mimi manake nami nahitaji pia,
Nami pia sintokulipa kwani malipo yake ni mimi kukufanyia wewe pia,
Cha msingi tukubaliane tu wapi tutafanyiana hiyo kitu,