Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
- Thread starter
-
- #21
full full bodyUnataka half au full massage .
Nitakufanyia 50000 kwa kua ni wewefull full body
Bei rahisiNitakufanyia 50000 kwa kua ni wewe
nipe ramani fanya 40 maana tupo wadada 2Nitakufanyia 50000 kwa kua ni wewe
Nitawafanyia 90 basinipe ramani fanya 40 maana tupo wadada 2
OK NIPE DIRECTIONNitawafanyia 90 basi
Njoo PmOK NIPE DIRECTION
NI YA KIFICHO HYO OFICE YAKO?Njoo Pm
Hata nikikupa direction hapa, haita saidia bila kuja Pm coz pale wapo watu wengi Ofcn na hii bei nimekupa tu coz ni wewe, bei kwa full huwa ni 150 kwa mtu mmoja.OK NIPE DIRECTION
Hapana ipo Mayfair plaza, mikocheniNI YA KIFICHO HYO OFICE YAKO?
Si ungenipa mimi hio kazi?Kuna sehem iko upanga... near Fire road wako vizuri
cheap na affordable... nilienda last week imenisaidia saaaana
sina namba zao ila ukitaka nikuelekeze I can do that
Yeah,mkuu acha utani unajua massage ni dawa?
For free au ungenitoza pesa??Si ungenipa mimi hio kazi?
free...For free au ungenitoza pesa??
Mi ni professional wa body massage......pia ni mtaalamu wa viungo.....Nitakusaidia kama upo serious.naitaji huduma ya full body massage siku ya jmosi .wapi wanatoa kwa bei nzuri jamani hapa dar?
Waxing...wanawafanyia na wanaume pia?...Nipe contact zao nipite mda huu..make nipo mjini.Kuna place upanga saloon ya muhindi flani ivii.. very cheap and affordable ata waxing wanafanya cheap mno. Nilivyo mbovu wa kutoa direction naweza nikakupm namba za mdada wa hapo saloon kama utakua interested
kila kazi ina kasma yake mkuuHuyu mdada si ndo alisema anaenda kutrmbelea watoto yatima kama sikosei, au amepata mchango wa kwenda kufanya massage nawaza kwa sauti.