King mkucha Member Joined Oct 14, 2016 Posts 89 Reaction score 71 Jun 18, 2019 #1 Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu natafuta bata bukini na kanga tafadhali kama unao njoo na bei yako nataka wa kufuga.....
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu natafuta bata bukini na kanga tafadhali kama unao njoo na bei yako nataka wa kufuga.....
M muyuni Member Joined Feb 22, 2015 Posts 21 Reaction score 3 Jun 30, 2019 #2 Mimi nahitaji mayai ya bata Bukin 0712567954
leipzig JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 2,766 Reaction score 1,714 Sep 10, 2019 #3 Nauza mayai ya bata bukini @Tsh.5000/=
dirtyboy JF-Expert Member Joined Sep 16, 2017 Posts 382 Reaction score 672 Jan 14, 2020 #4 leipzig said: Nauza mayai ya bata bukini @Tsh.5000/= Click to expand... Unapatikana wap
G gayo JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 238 Reaction score 93 Jan 15, 2020 #5 Nina bata bukini wengi karibu tuongee biashara. nicheki PM Sent using Jamii Forums mobile app
dirtyboy JF-Expert Member Joined Sep 16, 2017 Posts 382 Reaction score 672 Jan 15, 2020 #6 gayo said: Nina bata bukini wengi karibu tuongee biashara. nicheki PM Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Una patikana wapi?
gayo said: Nina bata bukini wengi karibu tuongee biashara. nicheki PM Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Una patikana wapi?