Natafuta Bamia, Papai na Pilipili Hoho

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,766
Reaction score
2,685
Habari wakuu.
Kama wewe ni mkulima wa mioja ya mazao tajwa hapo juu, tutumie yafuatayo kwa whatsap ya namba 0713-039875:

1.Picha ya mazao
2.Uwezo wako wa kuzalisha kwa mwaka
3.Jina lako
4.Bei ya mazao yako
5.Eneo yalipo mazao

Kibaha Farmers,
0713-039875
Technical consultant
 
Haya sasa wakulima fursa hiyo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…