Thesnooperman Member Joined Jul 3, 2013 Posts 57 Reaction score 6 Apr 30, 2014 #1 Mwenye anayeuza bajaji used anitafute kwa namba hizi,0788843724,0715771838
jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,101 Reaction score 441 Apr 30, 2014 #2 Kaka nakushauri heri ununue mpya au uachane kabisa na hii biashara mana used itakuumiza mpaka utalia.Nishawah kua na hyo biashara na ilinitesa kaka mana hamna muuzaji atakaekuambia ukwel
Kaka nakushauri heri ununue mpya au uachane kabisa na hii biashara mana used itakuumiza mpaka utalia.Nishawah kua na hyo biashara na ilinitesa kaka mana hamna muuzaji atakaekuambia ukwel