Natafuta bajaj Nzuri ya kununua

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
6,748
Reaction score
4,258
Wakuu natafuta bajaj iliyo kwny hali Nzuri nimpe kijana wangu afanyie kazi.

Mwenye nayo Njoo na Bei tafadhali.

Nipo Dar.
Ahsanteni
 
kuna moja inauzwa mil 4 hapa
Lasivyo niambie ofa yako nikutafutie leo hii ila hela iwepo kweli
0718295182
0765505909
 
kuna moja inauzwa mil 4 hapa
Lasivyo niambie ofa yako nikutafutie leo hii ila hela iwepo kweli
0718295182
0765505909
Mkuu Mwambie ashushe Bei basi Hapo parefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…