Habari wadau? Natafuta mahali DAR ES SALAAM wanapouza vimashine vidogo vya kufunga seal (BAG NECK SEALER) ntakachotumia kufunga mikate yangu Kama inavyoonekana kwenye picha, natanguliza shukrani zangu za dhati!!