Laki nne chumba cha kawaida tu Mkuu, peninsula yote iko juu kaka! Subiri nakuangalizia namba ya dalali nitakupa, ukimweleza mahitaji yako huenda akapata cha bei rahisi, lakini apartment ya maana kwenye gated community maeneo hayo inatakiwa ujipange hasa.