Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Hahaha mpaka hapa inaonesha hujui hata android tv box nininchi ngapi? ofa yako
Nvidia shield yenye adapter ya optical inafanya hii kazi.Wakuu natafuta Android TV box kama unayo au unajua mahali inauzwa
SIFA
Iwe na 4k
HDMI out
Optical/ Toslink ( Muhimu sana)
Issuport Dolby na DTS sound
Issuport MKV, MP4, AVI na common codec
Iwe na USB inayosoma Ext. HDD
Pesa ipo mfuko wa shati, kama unaweza fanya hata udalali niipate
Asanteni.
View attachment 1713869
amlogic 905 series ni soc za ukweli mkuu linapokuja suala la tv box, ndio hizo hizo hutumiwa na makampuni makubwa kama xiaomi, sijajua tu kama ni android tv na build quality ipo vipi, ila specs nzuri mkuu.View attachment 1725141
Wakuu nimeagiza hii Device toka china baada ya kupata ugumu hapa Tz.
Cc. @Chief-Mkwawa
amlogic 905 series ni soc za ukweli mkuu linapokuja suala la tv box, ndio hizo hizo hutumiwa na makampuni makubwa kama xiaomi, sijajua tu kama ni android tv na build quality ipo vipi, ila specs nzuri mkuu.
Nami Niliagiza china mkuu naikubali sana iko poaHope will work better for me. Mimi nitaitumia kama player tuu. Naamini itanifaa
Nami Niliagiza china mkuu naikubali sana iko poaView attachment 1726032View attachment 1726033
Nami Niliagiza china mkuu naikubali sana iko poaView attachment 1726032View attachment 1726033
Alijua android tv kumbe ni android box 😀Hahaha mpaka hapa inaonesha hujui hata android tv box nini
Mkuu unaonaje specification ya hii router,na band hizo bongo ni mtandao gani unaendana nazo?amlogic 905 series ni soc za ukweli mkuu linapokuja suala la tv box, ndio hizo hizo hutumiwa na makampuni makubwa kama xiaomi, sijajua tu kama ni android tv na build quality ipo vipi, ila specs nzuri mkuu.
Lte Advance ipo, wifi ya Ac ipo ni router nzuri mkuu.Mkuu unaonaje specification ya hii router,na band hizo bongo ni mtandao gani unaendana nazo?
Shukran mkuuLte Advance ipo, wifi ya Ac ipo ni router nzuri mkuu.
Sema hakujaandikwa bands hapo
Inakubali ndy ila uwe na line ya voda internet yao iko poa sanaVipi huwa unastream mipira ya ulaya bila shida yyte kupitia hyo mashine??
Kwa mm naona iko poa sana ina ram 4 rom 32gb pia ukitaka uinjoy nunulia wireless mouseVipi uwezo wake