Ndugu zangu Watanzania wenzangu,Mimi ni kijana wa makamo mwenye umri wa miaka 30 ninahitaji msaada wa kupatiwa au kutafutiwa kazi.
Nimejitahidi kuapply kazi kwa nguvu sana mambo yamekuwa magumu kidogo by the bado I have faith sijakata tamaa sababu I have trust Mungu atajibu maombi yangu.
Nimelileta jambo hili kwenu kama ndugu na jamaa muwezekunisaidia kunipatia Ajira ili niondokane Na ukata unaonikabiri.
Sisi wote ni wa moja na Mungu ametuumba kwa mfano wake na akatuagiza tupendane na MTU akiwa na Upendo lazima atakuwa na roho ya huruma na Upendo.
Kwa hiyo basi nawaomba ndugu zangu mnikumbuke na mnisaidie katika hili jambo .Nahitaji nipate kazi nzuri hisiyo inakiuka maadili ya Mungu na nchi.Nina Elimu ya degree moja ya maswala ya Jamii.
Nitafurahi kama mtanijari na kunisaidia hili.
Yesu anawapenda ndugu zangu.