Natafuta Ajira

Huo urembo ni moja ya kigezo?
Tembelea ma bus ya shabiby, selous,tahmeed kaombe kazi
 
Kazi ya uhudumu kwenye hotel za kitalii unaweza kufanya?
 
EBwnaa ni pisi kali balaaa...huyu namuweka reception alafu nitakukaribisha mzeya ofisini....ila kula kimasikhara hakuna🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu nitakuwa mwaminifu na kumshauri juu ya mambo ya kimaisha😅 namba zake ntachukua lakini
 
Mkuu nitakuwa mwaminifu na kumshauri juu ya mambo ya kimaisha😅 namba zake ntachukua lakini
Ah huyu lazima wee utataka kumkula tuu ni mrembo hatarii, yaani mwenyewe naona bor nimuchukue kama wife tuu
 
M

Mkuu vipi mbona unacheka!!nimemuuliza tu kama anaweza fanya kazi kwenye hotel za kitalii!!kwani kuna nafasi huko, hata kwa vijana wa kiume wenye uhitaji.
Mrembo hawezi shindwa huyo
 
Usiwe na wasiwasi mrembo wee kazi unapata na pia utamilikishwa kampuni kabisa. Ushindwe wewe tuu. Ila mitego kwa boss haikubaliki. Mitego ni kwa wateja tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…