Desmond Kamala
Senior Member
- Feb 20, 2014
- 134
- 8
Nimesoma hadi kidato cha sita na sasa nipo chuo cha usafirishajiUmesoma had level gan
Ungekua umemalza chuo na umefaulu hesabu na kiingereza ata o levo nngekusahaur ujarbu sehem
Mkuu we nishauri hesabu na english nimefaulu vizuri tuuUngekua umemalza chuo na umefaulu hesabu na kiingereza ata o levo nngekusahaur ujarbu sehem
Ajira yoyote?unaweza kulima?Natafuta ajira yoyote ya kufanya kwa mda wa ziada..naongea kiingereza vizuri,nina ujuzi wa computer,pia naweza kufundisha mathematics,geography na physics..nasoma chuo cha usafirishaji kozi ya mechanical engneering..namba zangu 0624055251 na 0757569232
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mm natafuta kijana wa kuchunga mbuzi na kondoo. Mshahara 20,000 kwa mwez. Kama unaweza njoo inbox.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
unasoma NIT af unatafuta kazi utasma saa ngapi mkuuNimesoma hadi kidato cha sita na sasa nipo chuo cha usafirishaji
Atakuambia hana mtajAnzisha mradi wa kubrash viatu hapo chuoni, acha ubishoo