NATAFUTA AJIRA NINA DIPLOMA YA PROCUREMENT.

Yna aika

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
350
Reaction score
1,020
Habarini wana jamvi,

Mimi ni msichana nina miaka 25,
natafuta ajira nina uzoefu wa miaka 4 nikifanya kazi kama Admin Assistant.
miaka mi 3 nikiwa katika mradi wa elimu na mwaka 1 kwenye mradi wa barabara.
nina uhitaji wa kazi,
Tafadhali naomba ni'PM kwa maelezo zaidi na kama kuna nafasi ya namna io.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha technical college wametoa asstant procurement try uko.
 
umefanya mitihani ya bodo ya manunuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…