Natafuta ajira mashirika binafsi

maritweet

Member
Joined
Sep 18, 2021
Posts
46
Reaction score
41
Mwenye kufaham mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotoa ajira mbalimbali naomba mwongozo wako.

Kuna zile kazi za research, community linkages, n.k.

Kila shirika linatofautiana.

Naweza kuanza kwa kujitolea, elimu yangu shahada ya ualimu.
 
mimi nalifahamu shirika lisiro la kiserikali....linalohusika na kazi za ulinzi....kama upo teyari kulipwa mshahala unaoanzia 250k...na upo teyari kufanya kazi ya ulinzi...na kama wewe ni mrefu

ebu lete barua ya maombi ikiambatana na vyeti vyako vya kidato cha nne...ofisi yetu ipo mikocheni b...kwenye kituo kinaitwa kwa mwinyi
 

Duh polisi hutaki tena..??[emoji849][emoji849]
 
Nakama ni mfupi wastani huwezi kupata
 
Na ilo shirika linaitwaje nawez kujarib bahati yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…