Nimesomea uandishi wa habari pamoja na utangazaji nina uzoefu wa miaka miwili tangu nimalize kozi ya uandishi wa habari na utangazaji.
Nimefanya kazi kwenye radio kama mtangazaji na pia kama reporter ila mambo ya malipo yamekuwa mwiba sana kwangu.
Najitokeza hapa kuomba kazi kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia nikapata sehemu ya kazi yenye kutoa malipo walau ya kujikimu anipe msaada.
Natanguliza shukrani (nina stashahada ya uandishi wa habari).
Naweza kufanya kazi kwenye TV pia na Magazetini.