mayraclara
Member
- Oct 6, 2018
- 20
- 6
Kama unataka cv yake c umwambie akutumie, au unataka tu kukosoa nonsense? Huna mpango wa kumpa kazi na si ajabu we mwenyewe unatafuta kazi alafu unaongea kama referee vile. Mnakera sana nyie watuSo hiyo ndo full cv yako?
Ungekuwa unaishi Dar ingekuwa rahisi. Ningekupa maelezo ya namna ya kufanya.Wakuu nimerudi kwa mara nyingine tena,nilisaka ajira mwaka jana bila mafanikio nisaidieni ajira Ninayo certificate ya journalism ninaumri wa miaka 22 Nipo arusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unielekeza plzUngekuwa unaishi Dar ingekuwa rahisi. Ningekupa maelezo ya namna ya kufanya.
Sawa kakaWewe ni Bint mdogo sana. Usijekutana na mabaradhuri kwenye utafutaji wako
I wish upate iyo Kazi unayoitaka