Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
Ni pmHabari naitwa Doris Gabriel naujuzi Wa front office natafuta Kazi za front office nime deal Na customer care, telephone operating system, receptionist.
Nimefanya field Serena hotel, Dodoma hotel nikafanya training Strategis insuarance.
Kama watanzania wenzangu, mnisaidie nipate Ajira nami nijikimu pia sio lazima nifanye nilichosomea ikitokea Ajira nyingine nipo tayari kufanya
Uko ndio nimesota wapi now hotel nyingi wanapunguza watuNenda kwenye mahotel utaweza kufanikiwa ingawa nao wanalalamika biashara mbaya magu kawabana no guests
Habari naitwa Doris Gabriel naujuzi Wa front office natafuta Kazi za front office nime deal Na customer care, telephone operating system, receptionist.
Nimefanya field Serena hotel, Dodoma hotel nikafanya training Strategis insuarance.
Kama watanzania wenzangu, mnisaidie nipate Ajira nami nijikimu pia sio lazima nifanye nilichosomea ikitokea Ajira nyingine nipo tayari kufanya
Nikweli nilizunguka za posta tu Na kuomba za Arusha ngoja nifanye hivyo asante umenifumbua machoPeleka CV zako kwenye mahoteli usichague ya posta tu nenda hata Manzese kuna mahoteli sio Mbaya kwa kuanzia hapo
SAfiri ukuje Zanzibar.Apply trainee at least mwez utafanikiwaHabari naitwa Doris Gabriel naujuzi Wa front office natafuta Kazi za front office nime deal Na customer care, telephone operating system, receptionist.
Nimefanya field Serena hotel, Dodoma hotel nikafanya training Strategis insuarance.
Kama watanzania wenzangu, mnisaidie nipate Ajira nami nijikimu pia sio lazima nifanye nilichosomea ikitokea Ajira nyingine nipo tayari kufanya
Sasa jinsi yakupata connection pia naomba nikupe number yangu pm ili utanieleweshaSAfiri ukuje Zanzibar.Apply trainee at least mwez utafanikiwa
Lyamber asante nashukuru hataka kama wanalipa hiyo acha tu niende Mungu akijalia nikipata bola nipate pakuanzia kuliko kukaa nyumbaniSouth Beach kigamboni wanaajiri hauna haja ya kutuma maombi ni walk in interview tu nadhani itakufaa wanalipa 180,000-200,000 kwa mwezi ni wahindi lakini nadhani unajua kazi zao zilivyo