Mliopo Dar es salaam tafadhali nifahamisheni mahala ninapoweza kumnunulia mzee wangu aina ya Air conditioner inayotumbukizwa dirishani [box type] na bei zake huko bongo!