Nina wageni wanatarajia kufika mjini Dar mapema mwakani. Nitahitaji nyumba mbili au apartments mbili zenye umeme wa uhakika, AC, at least 2 bedrooms and at least 2 bathrooms, ziwe full furnished. Do not bother to give me your information kama hakuna ulinzi wa uhakika. Weka information hizo hapa, nina uhakika zitawasaidia wengine wengi. Andika na kodi kwa mwezi tafadhali. Nitapanga kwa muda wa miezi miwili.
Mkuu Kwameh,
Area za karibu na Makao Makuu ya Celtel ni ideal?Je ni lazima ziwe zote kwa pamoja au hata kama ninayo 1 ni sawa?
Kama ni sawa ninayo 1 ambayo itakuwa vacant from February.2011, kama ni ideal kwako niambie its a decent house 1500USD/MONTH.