abousumaiya
Member
- May 11, 2017
- 28
- 19
Wa hivyo hapatikani kwenye mitandao
Kila la kheriPopote mungu Hutoa rizki usimuekee mungu mipaka
Mtoa post kazi yako,umri,upo wp tuanzie hapo mkuu
Mkuu, siku za Nyuma watu walitafutana kwa magazeti na baadae kwa Radio. Nakumbuka haswailikuwa Radio One na RFA...Na Wakaoana na ndoa zikadumu tu. Kwa sasa kuna hii Mitandao, Mitandao ya sasa ni kuimarika tu kwa Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia.....Ni njia mojawapo muhimu ya kumpata mwenza...Usichukuwe sample za wachache wasio na nia njema then uka draw Conclusion....Wapo hao wachache walio serious.....Facebook pamoja na Makando kando yake kuzidi mara mia JF, Lakini bado Mitume,Manabii, Wachungaji n.k wanatumia Facebook kuhubiri Injili...Wa hivyo hapatikani kwenye mitandao
Kwa anayehitajika mkuu sidhani kama ana muda wa kupita humu... Kila mda awe anawaza kifo chake dah..Mkuu, siku za Nyuma watu walitafutana kwa magazeti na baadae kwa Radio. Nakumbuka haswailikuwa Radio One na RFA...Na Wakaoana na ndoa zikadumu tu. Kwa sasa kuna hii Mitandao, Mitandao ya sasa ni kuimarika tu kwa Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia.....Ni njia mojawapo muhimu ya kumpata mwenza...Usichukuwe sample za wachache wasio na nia njema then uka draw Conclusion....Wapo hao wachache walio serious.....Facebook pamoja na Makando kando yake kuzidi mara mia JF, Lakini bado Mitume,Manabii, Wachungaji n.k wanatumia Facebook kuhubiri Injili...
Kwa anayehitajika mkuu sidhani kama ana muda wa kupita humu... Kila mda awe anawaza kifo chake dah..
mrejesho [emoji124] [emoji124]Natafta mke mapema tu kwa ajili ya kuitafta pepo....awe anajua dini ya kiislam vzuri na Kama hajui awe tayari kukaa chini na kusoma..tusisumbuane kabisa juu ya kutekeleza amri Za mungu
Ikiwemo kuswali vipindi vyote vitano......na stara pia ambayo imeruhusiwa kwenye dini
Awe anawaza sana juu ya mauti yake na asiwe amelewa na dunia
Awe mwenye Tamaaa haswa ya kumjua mungu
Zinaaa na kukutana kimwili wala usithubutu kuzungumzia hapa kabla ya ndoa
Kigezo kikubwa ni dini ...degree ..Sjui masters haviangaliwi kabisa
Ata Akiwa mkristo Akiwa tayari kucomvert hamna shida kabisa
Tafadhali pm inasubiri