Sie wa kipato kidogo watumiaji wa king'amuzi cha Azam tunateseka sana. Mpaka uende kwenye kibanda umiza kwenye DSTV.
Je, lini Tajiri yetu Bakhresa Mkombozi wa watu wa kipato cha chini atafanikiwa kuonesha league ya Uingereza kwenye King'amuzi cha Azam.? Naamini Tajiri Bakhresa akiamua jambo hashindwi.