Sasa ni ndulele ila dawa ni majani yake.Ndulandula ndo ndulele au ? Vile vitunda vyake vidogo vya rangi ya njano au unamaandiaha vipi hivo?
Ushauri uo apoHabari za muda huu wanabodi.
Nimekuwa ni nikisumbuliwa na tatizo la "kiungulia" kwa muda mrefu, nimeenda referral hospital, wakanipima wakanambia ni dalili za awali za ulcers, walinipatia dawa nimetumia miezI mitatu nimemaliza lakini bado sijaona mabadiliko.
Mwanzo nilkuwa nikila vyakula vyenye asidi kali kama vile maziwa mgando, dagaa, nyanya zilizopikwa, viazi vitamu n.k vinaniletea shida sana, kiungulia kinazid mno.
Lakini sasa imeenda mbali zaidi hata nikila vifungua kinywa kama vile viazi mviringo (ulaya) vya kukaanga vinanipa shida hiyo au nikila maandaz/chapati na chai bado kiungulia nakisikia.
Kuna mtu akanambia nitumie vitunguu maji, karafuu na mdalasini ndani ya wiki moja nitakuwa vizur, navyo nimetumia lakini bado sijaona mabadiliko, nilichobakia nacho sasa nachotumia kama mbadala wa kiungulia ni majivu ya moto, mara tu baada ya kula huwa natumia majivu, lakini sasa majivu yananiletea kikohoz kwa sababu ya vumbi lake. Nalo naona muda sio mrefu taacha kutumia majivu.
Naomben msaada wenu wa kimawazo nifanye nini kukabiliana na hili tatizo linalonisibu
Nawasilisha.
Kuna watu watakushauri tumia hiki tumioa kile, ila mimi nashauri utafute sababu kwanza ya hali hiyo kutokea. Na sehemu nzuri ni hospital. Hata kama ulienda hospital lakini rudi tena na vizuri zaidi uonane na dr mwingine au ubadilishe hoapital na hakikisha unaenda hospital inayoeleweka. Kuna dawa ningeweza kukushauri utumie lakini siku zote kutumia dawa bila kujua chanzo cha tatizo ni makosa. Nenda kafanye vipimo na ikiwezekana fanya gastroscopy, uone. Ni darubini wanaingiza kinywani inaingia mpaka kwenye tumbo kuangalia una tatizo gani.Habari za muda huu wanabodi.
Nimekuwa ni nikisumbuliwa na tatizo la "kiungulia" kwa muda mrefu, nimeenda referral hospital, wakanipima wakanambia
Asante sana mkuuKuna watu watakushauri tumia hiki tumioa kile, ila mimi nashauri utafute sababu kwanza ya hali hiyo kutokea. Na sehemu nzuri ni hospital. Hata kama ulienda hospital lakini rudi tena na vizuri zaidi uonane na dr mwingine au ubadilishe hoapital na hakikisha unaenda hospital inayoeleweka. Kuna dawa ningeweza kukushauri utumie lakini siku zote kutumia dawa bila kujua chanzo cha tatizo ni makosa. Nenda kafanye vipimo na ikiwezekana fanya gastroscopy, uone. Ni darubini wanaingiza kinywani inaingia mpaka kwenye tumbo kuangalia una tatizo gani.
Pole sna, jaribu kula matango kila unapopata hali ya kiungulia, huwa linasaidia kutulizaHabari za muda huu wanabodi.
Nimekuwa ni nikisumbuliwa na tatizo la "kiungulia" kwa muda mrefu, nimeenda referral hospital, wakanipima wakanambia ni dalili za awali za ulcers, walinipatia dawa nimetumia miezI mitatu nimemaliza lakini bado sijaona mabadiliko.
Mwanzo nilkuwa nikila vyakula vyenye asidi kali kama vile maziwa mgando, dagaa, nyanya zilizopikwa, viazi vitamu n.k vinaniletea shida sana, kiungulia kinazid mno.
Lakini sasa imeenda mbali zaidi hata nikila vifungua kinywa kama vile viazi mviringo (ulaya) vya kukaanga vinanipa shida hiyo au nikila maandaz/chapati na chai bado kiungulia nakisikia.
Kuna mtu akanambia nitumie vitunguu maji, karafuu na mdalasini ndani ya wiki moja nitakuwa vizur, navyo nimetumia lakini bado sijaona mabadiliko, nilichobakia nacho sasa nachotumia kama mbadala wa kiungulia ni majivu ya moto, mara tu baada ya kula huwa natumia majivu, lakini sasa majivu yananiletea kikohoz kwa sababu ya vumbi lake. Nalo naona muda sio mrefu taacha kutumia majivu.
Naomben msaada wenu wa kimawazo nifanye nini kukabiliana na hili tatizo linalonisibu
Nawasilisha.
Asante mkuu,naitumiaje kila siku au mara moja tu?Chukua bicarbonate of soda/baking soda (usichanganye na baking powder ni vitu viwili tofauti) changanya kijiko kimoja na maji safi kwenye glass (itafoka kama gesi ya soda) halafu kunywa. Ndani ya sekunde kadhaa tu kiungulia kinapotea
Sio wa kwa kuhadithiwa, nimetumia mimi mwenyewe na imenisaidia.
Asant sana mkuuUshauri uo apoView attachment 2595364View attachment 2595365View attachment 2595366
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kila pale unapohisi kiungulia.Asante mkuu,naitumiaje kila siku au mara moja tu?
Kuna huu ushauri naturally jaribuu kuungalia unaweza kukusaidiaaa mkuu.Habari za muda huu wanabodi.
Nimekuwa ni nikisumbuliwa na tatizo la "kiungulia" kwa muda mrefu, nimeenda referral hospital, wakanipima wakanambia ni dalili za awali za ulcers, walinipatia dawa nimetumia miezI mitatu nimemaliza lakini bado sijaona mabadiliko.
Mwanzo nilkuwa nikila vyakula vyenye asidi kali kama vile maziwa mgando, dagaa, nyanya zilizopikwa, viazi vitamu n.k vinaniletea shida sana, kiungulia kinazid mno.
Lakini sasa imeenda mbali zaidi hata nikila vifungua kinywa kama vile viazi mviringo (ulaya) vya kukaanga vinanipa shida hiyo au nikila maandaz/chapati na chai bado kiungulia nakisikia.
Kuna mtu akanambia nitumie vitunguu maji, karafuu na mdalasini ndani ya wiki moja nitakuwa vizur, navyo nimetumia lakini bado sijaona mabadiliko, nilichobakia nacho sasa nachotumia kama mbadala wa kiungulia ni majivu ya moto, mara tu baada ya kula huwa natumia majivu, lakini sasa majivu yananiletea kikohoz kwa sababu ya vumbi lake. Nalo naona muda sio mrefu taacha kutumia majivu.
Naomben msaada wenu wa kimawazo nifanye nini kukabiliana na hili tatizo linalonisibu
Nawasilisha.
Dawa ya kiungulia pitia hapo.Pole mkuu ila angalia pia sababu ni nn ili uweze kutibu tatizo...kwa ushauri wangu wa haraka haraka...anza kula matango mara kwa mara kama ulivyoshauriwa apo juu...pia tafuta kuna mmea wahaya wanauita kashwagala sijui kwa kiswahili unaitwaje,utachemsha kisha unakunywa kikombe kimoja km chai and then embu uone hali yako itakuwaje...ugua pole
Asante sana barikiwaPole mkuu ila angalia pia sababu ni nn ili uweze kutibu tatizo...kwa ushauri wangu wa haraka haraka...anza kula matango mara kwa mara kama ulivyoshauriwa apo juu...pia tafuta kuna mmea wahaya wanauita kashwagala sijui kwa kiswahili unaitwaje,utachemsha kisha unakunywa kikombe kimoja km chai and then embu uone hali yako itakuwaje...ugua pole
Shukran sanaDawa ya kiungulia pitia hapo.
Kiungulia na gesi
Kiungulia (Heartburn) husababishwa na Acid reflux au kupanda kwa tindikali kutoka tumboni kuja kwenye umio la chakula. Hali hii hupelekea maumivu maeneo ya kifuani na kero kubwa. Kwa upande wangu nilikuwa nikisumbuliwa na tatizo hili mara kwa mara, hali iliyonifanya niwe najaribu baadhi ya...www.jamiiforums.com