Nasumbuliwa na kisonono

Nasumbuliwa na kisonono

Med-A

New Member
Joined
Jun 10, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Mimi nasumbuliwa na ugonjwa wa kisonono kila sindano nikichama bado haisaidii kila vidonge nikitumia havisaidii sasa hivi yapata miezi Minne nitumie dawa ipi ndugu zangu mzizi mkavu naomba msaada wako.
 
Pole sana, umeshawahi kutumia Azuma? Pia hakikisha demu unayeruka naye mmpimwe na mpate matibabu wote.
Tumia condom.
 
Me nasimbuliwa na ugonjwa wa kisonono kila sindano nikichama bado haisaidii kila vidonge nikitumia havisaidii sasa hivi yapata miez Minne notumie dawa ipi ndugu zangu mzizi mkavu naomba msaad wako.
Nadhani unatibu kienyeji ndiyo maana huponi. Nenda hospital inayoaminika, mweleze dakta ufanye culture kuona ni dawa gani inawaua hao wadudu. Wanachukua sample ya usaha au majimaji, wanaotesha kwenye vi-containers tofauti, halafu wanaweka dawa sampuli tofauti. Ile sample ambayo wadudu watakufa basi inajulika ni dawa sahihi. Culture ikishfanyika ndiyo umeze dawa. Bila hivyo unaweza kumeza dawa nyingi kumbe hazina uwezo wa kuwaua wadudu.

BTW nimeshangaa sana kusikia kisonono bado kipo. Angalia sana unafanya mchezo hatari na unaweza kuapata ukimwi. Au umeogopa kwenda hospital kwa sababu ya kuogopa kuambiwa upime ngoma na sasa umeamua kutibu kienyeji?
 
Mkuu,Pole.Umechoma sindano gani?Ilikuwa baada ya muda gani.Uligundua muda gani na ikakuchukua muda gani kuanza tiba?Ulianza na Tiba ya Vidonge au Sindano?
 
Humu ndani ni hatari....

Haya ma specialist ya penaduu

Kila lililojema
 
Kwa maono yangu, maana nishawah pitia huko ni kwamba dawa zinaweza zikawa zinafanya kazi ila mademu woote ulioruka nao ndani ya siku zote hzo ulizokuwa na Hilo tatizo nao wanalo, tofauti inakujaga ni kwamba Kwa madem asilimia nying hawaonyeshag dalili kwahyo anaweza kukaa nao mpaka mwaka asione chochote, (inakuja kuwa PID mbelen na itamletea shida zaidi)

Sasa wewe mdau ukishajitibu ukaenda kuruka na yoyote yule kwenye hyo cycle mzigo unarudi upyaaa,

Mi nilihangaika miezi kibao nikagundua hyo ishu ikabidi niwatibu wote for good sikuwaambia direct ni ishu gani lakin ujanja ujanja ikafanya kazi, ujinga wa hili ni kwamba kama na wao waliruka na washkaj wengin wakaja tena kurudiana Kisha ww ukawepo middle cycle haiishi,

Maana Kuna mmoja nilmwambia atumie dawa naona akapuuzia juzi juzi tu nikaonana nae baada ya miezi kama 8 fasta tu mzigo ukarudi wakati nilishasahau haya mambo,

Solution ni wakati unajitibu potezea hao wadada wengine kabisaa au ukiweza watibu wote.
 
Back
Top Bottom