C Christina George JF-Expert Member Joined Sep 4, 2019 Posts 673 Reaction score 784 Jan 24, 2020 #1 Naumwa na kichwa siku ya nne leo yaani hakisikii dawa kinanitesa sana. Nikilala kinatulia nikiamka kinavuta sana sijui tatizo nini. Kesho nitaenda hospitali.
Naumwa na kichwa siku ya nne leo yaani hakisikii dawa kinanitesa sana. Nikilala kinatulia nikiamka kinavuta sana sijui tatizo nini. Kesho nitaenda hospitali.
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,418 Reaction score 29,432 Jan 28, 2020 #2 MziziMkavu hauchimbwi dawa, maelezo yote hayo kutibu kichwa tu..? [emoji15][emoji15]