SIMBA WANAFOSI KUSHINDANA NA YANGA-NASRI
"Siku zote najua nini naongea na nini logic ya nnacho kiongea… Ukweli ni kuwa Simba hakua na timu ya kupambania ubingwa na Yanga
Kilicho tokea msimu huu ni kufosi tuu mambo, kitendo kinacho pelekea Ligi nzima kuharibika… ikiwa Simba watahitaji kupambania Kombe la Ligi mbele ya Yanga kimpira halisia wana hitaji madirisha mengine kadhaa ya kuboresha kikosi chao
Kwa sasa hawana kikosi cha kushinda na Yanga, labda kwa cinema izi zinazo endelea [emoji1373]"
NASRI HALFAN MTANGAZAJI WA WASAFIView attachment 3351551
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Laban na CCM ni walewale!SIMBA WANAFOSI KUSHINDANA NA YANGA-NASRI
"Siku zote najua nini naongea na nini logic ya nnacho kiongea… Ukweli ni kuwa Simba hakua na timu ya kupambania ubingwa na Yanga
Kilicho tokea msimu huu ni kufosi tuu mambo, kitendo kinacho pelekea Ligi nzima kuharibika… ikiwa Simba watahitaji kupambania Kombe la Ligi mbele ya Yanga kimpira halisia wana hitaji madirisha mengine kadhaa ya kuboresha kikosi chao
Kwa sasa hawana kikosi cha kushinda na Yanga, labda kwa cinema izi zinazo endelea [emoji1373]"
NASRI HALFAN MTANGAZAJI WA WASAFIView attachment 3351551
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Jamaa katema fact tupuwatakuja wanahimba wakuponde mawe!..[emoji23]
Unamaanisha nn mzeeSawa tumekusikia kwa hiyo tukusaidieje? Mbona unateseka sana wewe! Umejifungia vioo ndani ya gari alafu unateseka na ushuzi ulio ujamba mwenyewe! Funguo vioo upate hewa
Mpanzu ni mchezaji wa timu ndogoOhoo watasema mnamuogopa Mpanzu
Hii kitu ni hatari sanaSi ndio mwanzo wa maigizo yanayoonekana huku yakipapimbazwa na mashabiki wasiojua mpira
Mwalimu ....sio doctor....lkn anafundisha mtu kuwa dactar.....so sio lazima uwe kwenye professional fulaniNi nani huyu kwenye mpira wa TZ?
Waliocheza mpira zamani wauchambue. Kule kwingine naona ni akina Ian Wright, Michael Owen, Rio Ferdinand, Alan Shearer, n.k. baada ya kuucheza kwa mafanikio makubwa
Simba imeponza referees wengiMchambuzi Nasri yuko sahihi, Simba imepata Matokeo ya dhulma katika mechi zisizo pungua 8.
Mechi na Dodoma jiji Simba kapata (2) za dhulma makosa ya kibinadamu mechi ilitakiwa iwe sare, Mechi na Azam kule Zanzibar kapata point (2) ilibidi iwe sare makosa ya kibinadamu.
Mechi na Mashujaa Zote mbili kazurumu point ( 4) Makosa ya kibinadamu, mechi zote ilibidi ziwe sare, Mechi na Pamba Mwanza point (2) Makosa ya kibinadamu mechi ilibidi iwe sare.
Mechi na Namungo kule Rwanga point(2) Makosa ya kibinadamu mechi ilibidi iwe sare, Mech ya kwanza na JKT Tanzania pale KMC complex point (2) Mechi ilibidi iwe sare.
Mechi na Singida Black star point (5) pale liti Point (2) apa DSM point (3) kwa haraka Simba imevuna point( 17).
Makosa ya kibinadamu yame sababisha timu ya Simba ivume point 17. Kwasasa Simba ana alama 72 ukitoa alama 17 za dhulma anabaki na alama 55.
Ambazo angekua Chini ya Singida Black star
Mchambuzi Nasri apongezwe kwakua alifanya utafiti wa kisayansi , Simba alistahili asilimia 4 ya kutwaa ubingwa.
Kilicho badilika katika msimamo ni makosa ya kibinadamu.
Sio lazimahuyo kanjibhai hata chandimu hajacheza halafu yupo hapo wachafu kuchambua football