Jaribu kucheki hiyo window yako labda imecorrupt
kama imecorrupt basi jaribu kuweka window aingine halafu fuata maelekezo yatakayotokea kwenye
pc yako kupitia hiyo cd ya window ingine uliyoweka
Kwako wewe basi tatizo litakuwa ni mpangilio katika 'Boot Option", kuna uwezekano CD/DVD ROM haitambuliwi au Hard Disk pia...
Jaribu kubadili mpangilio wa Boot Options kwenye BIOS settings, kama unainstall kutoka katika CD/DVD ROM basi ifanye iwe ya kwanza. Then endelea na installation ya Windows
Kuna sababu kadha wa kadha zipelekeazo tatizo la "ntldr is missing". Mara nyingi sababu kuu ni pale ambapo kompyuta yako inapojaribu ku-boot kutoka katika chanzo ambacho hakijafanywa kuwa 'bootable'