young_mesult
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 133
- 35
Kwanza nawapa heli ya mwaka mpya wana JF...Wenzangu me navyojua kwa kawaida mwanaume akifika kileleni umwaga manii,sasa tatizo langu ni kwa jinsia ya kike..hivi wakifa kileleni huwa inakuaje,pili kwa kawaida utumia muda gani kufika huko!maana hapa mtaani tunadanganyana sana.
Tatizo la kutumia makalio kufikiria.

ni mambo anayotakiwa kushea na mpenzi wake atampa jibu and not publickwani kakosea nini?
ni mambo anayotakiwa kushea na mpenzi wake atampa jibu and not public
Kwanza nawapa heli ya mwaka mpya wana JF...Wenzangu me navyojua kwa kawaida mwanaume akifika kileleni umwaga manii,sasa tatizo langu ni kwa jinsia ya kike..hivi wakifa kileleni huwa inakuaje,pili kwa kawaida utumia muda gani kufika huko!maana hapa mtaani tunadanganyana sana.
Tatizo la kutumia makalio kufikiria.
kwani kakosea nini?
Mi mwenyewe sijaelewa jamaa kakosea nini? Kitu ambacho watu hawajui ni kwamba "KUJUA MARA ZOTE NI FAIDA". Hata kama ni kitu cha kijinga.