Kila nikisikikiliza zilipendwa ya Mond na seduce me ya Kiba then nkihusianisha na comments za watu mtandaoni nashindwa kuelewa kama me nimedownlod nyimbo tofaut na zenu au sikio langu limepinda
Wala hauja download wimbo tofauti na izo zinazozungumziwa mitandaoni but kiusawa kabisa bila kupendelea ule wimbo wa wcb na ule wa kiba wa wcb ule wa wcb bonge la song yani
Aana hauchoshi kusikiliza, mbka kuitazama video yake na ukitaka kuamin now ule wimbo ni no 1 on trend YouTube
Kiba kasafilia promo za nyota ya mond tu kwa huu wimbo wake mpya