Nasherehekea Christmas kwa huzuni

Pole sana Ndugu Mungu akupe ujasiri na wagonjwa wapone haraka kwa neema zake Mungu
 
Pale roundabout kwa mbele kama unaelekea mwananyamala hospitali au ile pacha kama unaelekea victoria na makumbusho stand sasa ajali imetokea nyuma ya kile kituo cha mafuta
Makumbusho/Mwananyamala ndio wapi?

Hapo Victoria mataa ama?
 
Pole Sanaa ndugu.
Mungu atawaponya inshallah
 
Pale roundabout kwa mbele kama unaelekea mwananyamala hospitali au ile pacha kama unaelekea victoria na makumbusho stand sasa ajali imetokea nyuma ya kile kituo cha mafuta

Doh!

Nilihisi tu itakuwa ni maeneo hayo, hilo eneo huwa linajulikana kama chinja chinja...

Marehemu James mtoto wa Dandu/Cool James naye alikata kamba maeneo hayo hayo miaka hiyo sema yeye alikuwa ndani ya gari iliyopata ajali ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…