Noel wa ruben
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 364
- 517
Pole mkuu,Awali ya yote tumshukuru mungu kwa kutufikisha siku leo tr 25.12.2021,ukiwa mzima wa afya unaweza fikiri watu wote ni wazima kama ww kumbe lahasha. Maaandalizi ya kusherehekea yamefanyika kama kawaida siunajua ukiwa na familia kama nafasi ipo utafanya vitu tofauti kidogo watoto nao wajue baba na mama wapo. Pamoja na hayo yote kufanyika sina furaha kabsa nachofanya nikujikaza tu, sababu moja inayo nifanya kukosa amani nikua na wagonjwa ndugu zetu ambao wakiamka salama unamshukuru mungu kutokana na aina ya magonjwa wanayoumwa. Mmoja anatatizo la homa ya ini na hali yake si nzuri madaktari wameshauri tumrudishe kwanza nyumbani maaana hospitali tumekaaa sana, wapili anahitilafu kwenye mfumo wa ubongo unaomfanya muda mwingi mwili kutetema kama amepigwa shoti, watatu anatatizo la kushindwa kukojoa jopo yeye tiba amepata na anaendelea vizur. Mambo haya yamenifanya nione ukuuu wa mungu nimekua nikisali sana kuomba rehema kwangu na ndungu zangu pia. Ndugu zangu tufanye yote kumbuka kumuomba mungu japo kwa muda mchache hata kama huna tabia ya kusali tenga muda kidogo tu omba mungu anakusikia. Nawatakia sherehe njema mungu abariki!
Pole sana comrade Mungu awafanyie wepesiAwali ya yote tumshukuru mungu kwa kutufikisha siku leo tr 25.12.2021,ukiwa mzima wa afya unaweza fikiri watu wote ni wazima kama ww kumbe lahasha. Maaandalizi ya kusherehekea yamefanyika kama kawaida siunajua ukiwa na familia kama nafasi ipo utafanya vitu tofauti kidogo watoto nao wajue baba na mama wapo. Pamoja na hayo yote kufanyika sina furaha kabsa nachofanya nikujikaza tu, sababu moja inayo nifanya kukosa amani nikua na wagonjwa ndugu zetu ambao wakiamka salama unamshukuru mungu kutokana na aina ya magonjwa wanayoumwa. Mmoja anatatizo la homa ya ini na hali yake si nzuri madaktari wameshauri tumrudishe kwanza nyumbani maaana hospitali tumekaaa sana, wapili anahitilafu kwenye mfumo wa ubongo unaomfanya muda mwingi mwili kutetema kama amepigwa shoti, watatu anatatizo la kushindwa kukojoa jopo yeye tiba amepata na anaendelea vizur. Mambo haya yamenifanya nione ukuuu wa mungu nimekua nikisali sana kuomba rehema kwangu na ndungu zangu pia. Ndugu zangu tufanye yote kumbuka kumuomba mungu japo kwa muda mchache hata kama huna tabia ya kusali tenga muda kidogo tu omba mungu anakusikia. Nawatakia sherehe njema mungu abariki!

Ungemuambia kwanza hiyo paragraph ndio kitugani.Pole mkuu,
Siku nyingine ukiandika maelezo marefu kama haya au zaidi jitahidi kuweka walau paragraph tu,
Pole ndugu amahakika kuugua nakuuguza ni ibada mbeleza uso wa Mungu,tuendelee kumtumainia Mungu naeatatoa uponyaji kwa ndugu wanaoumwa, Barikiwa sana.Awali ya yote tumshukuru mungu kwa kutufikisha siku leo tr 25.12.2021,ukiwa mzima wa afya unaweza fikiri watu wote ni wazima kama ww kumbe lahasha. Maaandalizi ya kusherehekea yamefanyika kama kawaida siunajua ukiwa na familia kama nafasi ipo utafanya vitu tofauti kidogo watoto nao wajue baba na mama wapo. Pamoja na hayo yote kufanyika sina furaha kabsa nachofanya nikujikaza tu, sababu moja inayo nifanya kukosa amani nikua na wagonjwa ndugu zetu ambao wakiamka salama unamshukuru mungu kutokana na aina ya magonjwa wanayoumwa. Mmoja anatatizo la homa ya ini na hali yake si nzuri madaktari wameshauri tumrudishe kwanza nyumbani maaana hospitali tumekaaa sana, wapili anahitilafu kwenye mfumo wa ubongo unaomfanya muda mwingi mwili kutetema kama amepigwa shoti, watatu anatatizo la kushindwa kukojoa jopo yeye tiba amepata na anaendelea vizur. Mambo haya yamenifanya nione ukuuu wa mungu nimekua nikisali sana kuomba rehema kwangu na ndungu zangu pia. Ndugu zangu tufanye yote kumbuka kumuomba mungu japo kwa muda mchache hata kama huna tabia ya kusali tenga muda kidogo tu omba mungu anakusikia. Nawatakia sherehe njema mungu abariki!
Duuh..ilikuwaje mkuuMimi leo nimeshuhudia mtu kagonjwa na gari(Nissan) na kufa papo hapo maeneo ya Makumbusho/Mwananyamala mida ya saa moja usiku huu
Nissan imemgonga mtu alikuwa anavuka barabara alafu mwenye gari wala hajakimbiaDuuh..ilikuwaje mkuu
Hayo maeneo yangu aisee imeniuma sanaNissan imemgonga mtu alikuwa anavuka barabara alafu mwenye gari wala hajakimbia
Mimi leo nimeshuhudia mtu kagonjwa na gari(Nissan) na kufa papo hapo maeneo ya Makumbusho/Mwananyamala mida ya saa moja usiku huu