Nashauri Meya Boniface Jacob apewe Ulinzi

Ah ah ah vitu vingne asee, sasa meya ametaka mwenywe kujiingiza kwny swala la elimu ya mtu,alaf raia wamuombe'
Unapoamua kumchokoza mtu it means una defense ya kueleweka...
Hii ji another 'kiki' stunt
 
Kweli kabisa Mkuu huyu uhai wake uko hatarini sana Bashite na kundi lake la wauaji bila shaka watakuwa wanamuwinda huyu.

Mkuu umenena...
Nami nina mashaka sana na maisha ya huyu Meya..
Though analopambana nalo ni la muhimu sana.
 
Reactions: BAK
Kuna uzi mmoja nimesema account ya kutolea michango ianze kuandaliwa kabisa,itasaidia kwenda Nairobi au kukodi maturabai kama shetani atashinda.Ndicho kinachosubiriwa kwa huyu mh. maana timu inayoadhirika na hili ndo ile ile.
 
Hii ndio ile ya wahenga, mchawi mpe mtoto wako amlee.
 
Mkuu watu kama hawa wanakuwa tayari wameshaingia mkataba na shetani. haya maswala hayawasumbui. Hawana Mungu kabisa kwa hiyo hawana dhamira inayowasuta maana wanaishi tayari katika ufalme wa mkulu wao a.k.a shetani. Kwa maana hiyo nao pia ni mashetani ambao wanaishi kama binadamu na wanapewa madaraka na nguvu za ajabu. Kwao hapa duniani ndio paradise na madhambi wanayoyafanya ndio mvinyo wa kuwaongezea utukufu mbele ya bosi wao a.k.a Ibilisi. Pamoja na kupambana kisiasa kuna haja kubwa ya kuongeza maombi kupambana na jeshi hili ovu la kishetani...maana wapo wengi sana sana!
 
Akumbuki hayo kajitoa ufahamu anamtumikia mfalme juha
 
Nilitegemea watoto Wa kike. Kama we we kuongia kwenye choo cha wanaume kaanzishe Uzi wako kule Lumumba mjinga ww

Kwa ufinyu wa akili yako unadhani serikali inaweza kupoteza muda wake kwa ulinzi wa meya wa Ubungo?Mengine mnaongea ili mjifurahishe lakini hayawezekani.Akili hizi ni za kijinga mno kama wakati ule wa uchaguzi wa 2015 mjinga mmoja huko kwenu ubumgo alipoibuka na kusema Kikwete lazima aende 'The Hague' mkidhani ya kwamba 'The Hague' ni kama mahakama ya mwanzo ya Ubungo.Twendeni taratibu tu mpaka ifike 2020 tutaongea lugha moja.
 
Hii ni sahihi, kabisa! Jamaa apewe ulinzi! Kwani kesi imeanza kusikilizwa?
 
watu wasio julikana sasa wameogopa hawawezi shambulia mtu mwingine tena . maana wanataftwa kwa nguvu na polisi. polisi wapo wanaojulikana na wengine hawajulikani lakini wako kazini kuwasaka watu wasio julikanana, hivyo basi meya asonge mbele bila wasiwasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…