Aisee wazungu sio wenzetu.... sisi huku tunagundua style tu za kucheza.... azonto, skelewu, ngololo
Aisee wazungu sio wenzetu.... sisi huku tunagundua style tu za kucheza.... azonto, skelewu, ngololo
​Huo umbali sasa ndo balaa miaka 1,400 kwa mwendo wa mwanga ni ndoto kufika huko
​Huo umbali sasa ndo balaa miaka 1,400 kwa mwendo wa mwanga ni ndoto kufika huko
Aisee wazungu sio wenzetu.... sisi huku tunagundua style tu za kucheza.... azonto, skelewu, ngololo
Nyongeza! tunavumbua style mpya za kufanya mapenzi, kila kitu Tanzania siasa
Afrika bado sana ingawa uwezo tuna lakini kinachotuharibia ni siasa mbovu
​Huo umbali sasa ndo balaa miaka 1,400 kwa mwendo wa mwanga ni ndoto kufika huko
maprofessor wetu ni wa theory tu !
Very long shot but who knows?just few yrs back watu walikuwa wanatumia farasi na speed of sound was like fiction lakini sasa kuna ndege zinasafiri kuliko speed of sound or more,speed of light inaonekana imposible lakini kuna mambo mengi sana hatujui so one discovery inaweza ikabadili kila kitu tunachojua,kama umesoma Physics in relativity ambayo ndio cornerstone of all modern Physics Einsten anasema nothing could exceed speed of light lakini scientist wengi wameanza kuonyesha doubts zao ingawaje bado wameshindwa to prove him wrong,time will tell na umewahi kusikia warp drive?​Huo umbali sasa ndo balaa miaka 1,400 kwa mwendo wa mwanga ni ndoto kufika huko
Aisee wazungu sio wenzetu.... sisi huku tunagundua style tu za kucheza.... azonto, skelewu, ngololo
Hata wakitudanganya hauwezi ku-prove maana distance ya 1,400 LIGHT YEARS! ni umbali mkubwa mno! ambao hata professors, na scholars wengine wa universities zetu hawawezi kujua chochote sawa tu na sisi mamburura wa huku vijijini.