Nasaka mume

Hio namba 1 nadhani nitakua nipo meza ya mbele kabisa ila ishakua 2026 tena hio ni 2012 sasa ulikua na miaka 27 jumlisha toa 2026 minus 2012 equal to 14 chukua 27 jumlisha 14 unapata 41 tayari ushatembea umbali mrefu nadhani hio mashine kubwa ulishaipata pia
 
Daah watu hamna haya mnafukua makaburi ya 2012🤣🤣 wengine si mlikuwa mko kwenye diapers mwaka huo?
 
Hiyo chuma ni strigler gorge mzee kama ni engine basi engineering currently wakiipima watakuta iko size 25 yaani baada ya hapo ni ya kutupwa.
 
Vip mshangazi ulifanikiwa kupat mme, na Hali ya ndoa yenu ipoje kwa sasa? Kama huku pata nichek pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…