mkandumbwe
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 424
- 371
Store ina fridge moja!!!!!!!
πππkwahiyo store yote imejaa friji moja?
Mbagala
Mkuu kasema hakuna njaa na watu tunashindia maji tu[emoji23] by the way nipe hiyo 180k na ww uweke vipolo vyako vya ugali mkuu.Fridge used toka Mbagala[emoji15][emoji15][emoji15]
Hilo ni Kama Simtank tu umejaza Maji Mwanzo Mwisho umeshindwa kabisa kuitendea haki
Mkuu upo?? Nina AC na manual generator change over switch. Pitia nyuzi zangu zingine. Vyote navibwaga kwa bei chee. Karibu mkuu.kwahiyo store yote imejaa friji moja?
Mkuu kasema hakuna njaa na watu tunashindia maji tu[emoji23] by the way nipe hiyo 180k na ww uweke vipolo vyako vya ugali mkuu.