Narudia tena Rurion Kenshin ni movie bora kwa muda wote

Hii movie ni bora kwako wewe kutokana na mtazamo wako.

Sisi wengine haya ma movie ya Kichina, Kijapan na Kikorea huwa tunayachukia balaa. Binafsi sijawahi kuona movie nzuri ya Kichina au Kijapani au Kikorea, zote huwa naziona takataka tu.
 
Ludacris na Roman wanaenda kuharibu satelaiti. Angalia walivyoenda na kurudi duniani. Utacheka
Unaangalia movie mpaka unasikitika.
F9 the fast saga ni movie iliyojaa uongo kupitiliza. Eti gari ipo mtaa wa pili kisha inavutwa na sumaku inabomoa majengo na kunasa kwenye hiyo gari yenye sumaku. 😂😂😂
 
walau gunpowder milkshake iko vizuri mzee
 
Umeziangalia hizi movie zote?.Maana ziko 5 nafikiri.
 
nlivoona uzi wako nkatoka speed ku download hizo mbili

kusema ukweli amna kitu humo
 
Wenzako wanatengeneza pesa wewe baki na mawazo yako magumu yakiafrika yasiyo na maana yoyote ulimwengu huu.

kutengeneza pesa kuna uhusiano gani na ubaya wa hio movie.

Movie ni mbaya whether wametengeneza pesa or not!

We kama kwako ni nzuri basi ni wewe, ila me nimeona ni takataka na hamna kitu utanifanya.
 
kutengeneza pesa kuna uhusiano gani na ubaya wa hio movie.

Movie ni mbaya whether wametengeneza pesa or not!

We kama kwako ni nzuri basi ni wewe, ila me nimeona ni takataka na hamna kitu utanifanya.
Mkuu hyo muv cjuh kwann jamaa wanaishupalia wakati ni mbaya+ mbaya+mbaya+MBAYAA
 
Wabongo Sijui mnarogwa na nani asee asa kama movie ujaipenda Complain zinakuwa nying kweli embu tengeneza yako Na sis tuje tutoe comment
Sasa nongwa iko wapi pale? Wewe umekuja kusema ni movie kali naye anasema ni movie mbovu, ukaanza masuala ya wao wanatengeneza hela. Wewe unayeitetea unatengeneza shilingi ngapi. Kwani lazima kila unachokubali kikubalike
 
kutengeneza pesa kuna uhusiano gani na ubaya wa hio movie.

Movie ni mbaya whether wametengeneza pesa or not!

We kama kwako ni nzuri basi ni wewe, ila me nimeona ni takataka na hamna kitu utanifanya.
Punguza mawazo mgando ndugu inaonekana uko kichwani una uji badala ya ubongo.Wewe endelea na dharau za kazi za watu wakati huna chochote unachokiweza zaidi ya kunya.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…