Mku ongera Sana. Mimi nipo Mkoa hizi Mashine upatikanaji na bei inakuje kwami huku ninaweza kupiga kazi za shule.
Msaada wako ni ajira kwangu mku.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanga ktk wilaya inayoitwa Kilindi mkuAsante, Upo Mkoa Gani? Mimi Baadhi ya Vitu niliagiza nje, nilinunua Amazon almost nusu ya vitu ila Printers hasa Hizi Epson nilinunua hapa hapa DSM kariakoo. Karibu sana kwenye Biashara Hizi
Mfano heatpressing ya logo ya jf yenye maneno jamiiforums kwa chini kwa tshirt moja bei gani?Inategemea, kama ni screen printing, heatpressing au Kudarizi. Bei hutegemea na Ukubwa wa Art work yako, Design unayotaka ifanyiwe kazi na Idadi (ya Nguo/Kofia/Vikombe n.k)
Uko wapi... Dar au mkoa?Kazi bado zinaendelea... karibuni nyoote.