EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,283
- 20,905
Ni kweli subordinate wake walikuwa hawana maelewano Naye lakini pengine hata yeye anaweza kuwa na makandokando ambayo mamlaka ya uteuzi inayajua ambapo mimi na wewe hatuwezi yajua jiwe ain't that stupid he knows what's up.Naona kama unaegemea kwenye upande mmoja wa storyWewe ukidharauliwa na walio chini yako hakuna njia ya kuwadhibu wa chini yako? iweje waliovunja Sheria ya kukosa nidhamu kwa boss na boss wote wanaondolewa? Huoni kuwa wa chini wataenda kuwadharau boss zao wakijua ikija tumbua inatumbua wote, CCM mnajenga misingi mibaya ya kutokuwa na nidhamu kwa boss wa juu hii inavuruga misingi ya utawala bora, hivi ikitokea kamanda mroto kumdharau IGP mtamtoa IGP au mtamtoa RPC?
Alishindwa kuwawajibishaMheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.
Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?
Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.
Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
KaandamaneMheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.
Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?
Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.
Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Ndiyo nyie amewaagiza msemee mitandaoni?Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.
Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?
Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.
Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Unakakuta kanajamba tu kwenye masofa ya shemeji huku usiki sister wa kenyewe anababuliwa shenzy type kabisa!!
Ndio yeye Mkuu, kijana alilewa sana madaraka ya KUPEWA TU.Hii ndio huyu aliyekuwa anagombania mademu Club saa sita za usiku ?
Afsa Elimu wilayaMkurugenzi wa Halmashauri anaitwa DEO?
Distric Education Officer= Afsa elimu wilayaSamahani naomba kirefu cha DEO
Atafte mwenyewe kama sisi kwani hana vyeti?Ulitaka gaambo akae hapo milele!
Any way Subiria atapangiwa Kazi nyingine
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
...🙄🙄🙄...Uongozi Wa Arusha ulikuwa na mgogoro mkubwa sana na waislam wa arusha, baada ya kumega eneo la msikiti mkuu wa arusha, waislam walitaka kuleta fujo siku ya idd wakatulizwa na viongoz wao, huu mgogoro ndio umewaondoa mkurugexzi na mkuuwake, wala sio maugomz yao
Huu wako nao ni uzwazwa!Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.
Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?
Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.
Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Afisa Elimu wa Wilaya i.e. District Education Officer kama sikoseiSamahani naomba kirefu cha DEO
Hata mimi nimeshangaa jamaa anavyojitetea!Wewe ni Gambo. Acha kujitetea. Kwani hamna kazi nyinhine nje ya u RC???
NENDA UKAJIAJIRI! SIO NDIO LUGHA MNAYOTUAMBIAGA?? NJOO MTAANI TUBEBE ZEGE!
Mbona sehemu nyingi pako hivo, piga jicho pale wizarani kuna wateuliwa wangapi wa Rais? lkn wanaheshimianaGambo hajajitetea bali sasa nidhamu haipo wa chini hana nidhamu kwa wa juu kisa ni mteuliwa wa mtukufu