Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.
Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?
Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.
Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Aliyetoa ndie ametwaa!!
Anae lala na mama yako ndie baba yako
Hizi ni kanuni za kawaida kabisa wala hazihitaji mjadala
Mkurugenzi wa Halmashauri.
Wewe unapoteza nini akitumbuliwa?
Haijawahi kutokeaMtoa mada nafikiri ni mnufaika wa Gambo
NonsenseKodi yangu.
Mkurugenzi wa Halmashauri anaitwa DEO?
Rais Magufuli anasema fanyeni kazi Mambo ya kutegemea mtu yamepitwa na wakati, angalia Sasa umepaniki
Who are you by the way.
Mwanajamii.
Samahani naomba kirefu cha DEO
Sio DEO, ni DEDSamahani naomba kirefu cha DEO
Kijana mbona una panic? Ugetupatia kwanza story ya Gambo (DC enzi hizo) na Ntibenda kijiko (RC enzi hizo) kabla ya povu hili.CCM wanachekesha sana ndiyo maana Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, Yaani mtu wa chini yako akiamua kumdharau mkubwa wake akawa na kiburi wanaamua kuwatoa wote? Dharau ya wa chini inamtoa yule boss wa juu? Mfumo wa kijinga sana huu, hii itawapelekea wakuu wa wilaya wengi kuanza kuwadharau wakuu wa mikoa wakijua ikitokea kufukuzwa wanafukuzwa wote, ni Aina mpya ya kutoheshimu boss wako mnafukuzwa wote itashusha heshima kwa viongozi wengi, watu wa chini watawafanyia visa wakijua kama ni kufukuzwa wanafukuzwa wote, hakuna utawala bora mbele ya Mdogo kumdharau mkubwa kisha mbafukuzwa wote, huo ni udhalilishaji kwa mkubwa kwani Mdogo sasa anajua akifanya ukaidi mkubwa anafukuzwa, ni vigumu Taifa kupata maendeleo endapo CCM wameanza kuendekeza ujinga huo mpya,ipo siku polepole atamdharau katibu mkuu kisha wataondolewa wote badala ya kuangalia chanzo wala yule aliyeleta Dharau , ebu mkuu wa wilaya mkurugenzi mdharau Naibu Rais ndugu Daud Bashite tuone kama mtatumbuliwa wote?
Haijawahi kutokea
Haitokei
Wala haitatokea
Mi nimeelewa tofauti kidogo...Aliyetoa ndie ametwaa!!
Anae lala na mama yako ndie baba yako
Hizi ni kanuni za kawaida kabisa wala hazihitaji mjadala
Upo sahihiSidhani kama kuna cha MED na CED, bali kwa manispaa anaitwa tu Municipal Director na wa Jiji anaitwa City Director.
Unakakuta kanajamba tu kwenye masofa ya shemeji huku usiki sister wa kenyewe anababuliwa shenzy type kabisa!!Ni shemeji yake hivyo atakuwa amekosa vidali vya kuku na bata
Sio vibaya ukidokeza kidogo.Gambo unakuja kujipigia debe kivingine?
Kiburi sio maungwana, ulijifanya kumuiga mtoto wa dalisalamu bila kujua kwa nini analindwa na baba Ona sasa! Yule hata akinyea mbeleko hashushwi mgongoni, ana makubwa afanyayo tunayajua sisi tuu wakubwa.