nikiona avatar yako nafikilia wew ni mtu wa huzuni sana.Hata mie napenda wanaume kupita maelezo
Hebu nikaanzishe uzi wanaume walijue hili
Huyo hana lolote, furaha ipo apa kwa 12Ni kweli
Nipe furaha basi
Fanya hivyo basi
Namna ya kuacha u domo zege - JamiiForumsHabari zenu wanajukwaa, natumai mmu wazima
Wanajukwaa, bali ya kuwa domo zege na mwanachama mstaafu wa CHAPUTA nimegunduwa ya kuwa nawapenda wanawake vibaya mto yaani hakuna yakuelezea ilo sometimes hua nahisi kama ni pepo ao labda ndio kuwa rijali sijuwi maana siwezi nikapishana na mwanamke bila kumtizama alicho barikiwa.
Je wanajamvi ndio u rijali uyo ama ni laana ao pepo?
#Proud to be a domo zege
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mkuu, nlijitahidi kuuacha nikamdondokea mwasi flani ila alico nifanyia hadi kimeniasiHujaacha tu u domo zege? Namna ya kuacha u domo zege - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app