12 Marook
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 441
- 329
Habari zenu wanajukwaa, natumai mmu wazima
Wanajukwaa, bali ya kuwa domo zege na mwanachama mstaafu wa CHAPUTA nimegunduwa ya kuwa nawapenda wanawake vibaya mto yaani hakuna yakuelezea ilo sometimes hua nahisi kama ni pepo ao labda ndio kuwa rijali sijuwi maana siwezi nikapishana na mwanamke bila kumtizama alicho barikiwa.
Je wanajamvi ndio u rijali uyo ama ni laana ao pepo?
#Proud to be a domo zege
Sent using Jamii Forums mobile app